Search This Blog

Thursday, October 3, 2013

PICHA NA MATUKIO MBALIMBALI YA WANAFUNZI WA ST.JOSEPH MOROGORO WALIOTEMBELEA REDIO MWAMBAO FM TANGA


Moja kati ya Usafiri walioutumia Baadhi ya walimu wa st Joseph Morogoro
 

Baadhi ya wanafunzi wa st.Joseph Morogoro wakipata maelezo mafupi kuhusu kituo cha utangazaji cha Redio Mwambao fm Tanga katika ukumbi wa mikutano kituoni hapo

Kulia ni Mtangazaji wa redio katika kipindi cha amka na mwambao Mfaume Kikwato akiwapa maelekezo machache wakiwa Production rum

Wakionesha umakini juu ya kile wanachoambiwa
Wakiwa kati ya moja ya studio za Redio Mwambao fm Tanga,aliyevaa suti ni Mwalimu wao walie ambatana nae Hashim Ghulana


 Wakiwa katika studio za mziki Redio hapo.
 Wakijaribu kuandaa jingle katika studio hizo
 Mtangazaji na Muandaaji wa kipindi cha Mimi Na Mwanafunzi kulia alievaa tai ya kijivu  Suleiman Kibugo akijaribu kuongea nao Mawili matatu





No comments:

Post a Comment