Mara baada ya sintofahamu kuhusu walimu huko nchini kenya hatimae wingu la migomo limeendelea kutokea ambapo nchini Uganda shule zimefungwa baada ya walimu kugoma kwa siku nne mfululizo.
Katibu mkuu wa Chama cha Walimu Uganda alisisitiza kuwa hawataingia madarasani hadi Serikali itakapowaongezea asilimia 20 ya mishahara yao.
Walimu hao wamelalamikia mishahara midogo, suala ambalo limewafanya zaidi ya wanafunzi milioni 12 kushindwa kuingia madarasani hivyo kushindwa kupata elimu.
Awali Serikali ya Uganda iliahidi kuongeza mishahara ya walimu kwa awamu tatu yaani asilimia 15 katika mwaka wa fedha uliopita, asilimia 20 mwaka huu na asilimia 15 mwaka ujao.
Hata hivyo ilikiri haina fedha za kulipa nyongeza ya asilimia 20 ya mishahara ya walimu.

No comments:
Post a Comment