Search This Blog

Sunday, December 15, 2013

PICHA ZA MAHAFALI YA 19 DSJ HIZI HAPA

Meza kuu
Mahafali ya 19 ya chuo cha Uandishi wa Habari Dar es Salaam (DSJ) yamefanyika ijumaa ya desemba 13 mwaka hu ambapo wahitimu katika ngazi za stashahada na cheti kwenye fani ya uandishi wa habari na mawaziliano ya umma, na mahuasiano ya umma wamehitimu.

Baadhi ya wahitimu wakibadilishana mawili matatu


Dotto, Abushehe Nondo, Ibrahim Yamola na Juliana Malondo



No comments:

Post a Comment