WAZAZI
wametakiwa kuacha tabia ya kulalamika hasa wanapoona matokeo
ya mithiani ya kitaifa yamekuwa mabaya na badala yake wanatakiwa
kutafuta mbinu ambazo watashirikiana na walimu ili kuweza kuokoa wimbi
kubwa la watoto ambao wanashindwa kufanya vema katika mithiani ya
mwisho

Asilimia
kubwa ya wazazi wao wanapenda kutoa lawama kwa walimu na
hata wakati mwingine kwa Serikali bila kujua kuwa wao wana nafasi
kubwa sana ya kuweza kuwasaidia watoto wao pindi wanapokuwa mashulenina hata kabla hawajafanya mithiani yao ya mwisho

Hayo
yalielezwa jana Jijini hapa na Mkuu wa shule ya Sekondari ya
Arusha Modern,Philiph Wasike wakati akiongea na wanafunzi pamoja na
wazazi katika maafali ya Saba ya kidato cha sita shuleni hapo.

Wasike
alisema kuwa lawama ambazo wanatoa wazazi hasa wanapoona
matokeo ya mwisho ni mabaya kamwe hayataweza kuwasadia na badala
yake ndio yanazidi kuangamiza watoto,hivyo basi wanatakiwa kuhakikisha
kuwa wanabuni mbinu ambazo zinaweza kuwasaidia wanafunzi wao

Aliongeza
kwa kutolea mfano kuwa kwa sasa asilimia kubwa sana ya
wazazi wanawaza jinsi ya kulipa ada lakini hawawazi jinsi ya
kuwasaidia wanafunzi hasa wale wenye uelewa mdogo hivyo mzigo huo
unaachiwa kwa walimu pamoja na uongozi wa shule ambao wakati mwingine nao unalemewa kwa kuwa hakuna msaada kuutoka kwa wazazi

“matokeo
ya kidato cha nne yaliyoytangazwa wiki iliyopita watoto
wamefeli sana lakini kila mzazi analaumu bila ya kujua kuwa nao wao ni
chanzo kikubwa sana kwa kuwa wazazi wengi sana wanawaza jinsi ya
kupata ada hawawazi jinsi ya kuwasaidia na kuwapa moyo wanafunzi sasa
ni vema kila mzazi kabla hajatanguliza lawama mbele kwanza wanatakiwa
kuhakikisha kuwa wanafuatilia maendeleo ya wanafunzi wao kwa ukaribu
sana”aliongeza Wasike

Katika
Hatua nyingine alisema kuwa nayo Serikali inatakiwa kuhakikisha
kuwa inajiwekea utaratibu wa kuhakikisha kuwa wanaboresha zadii sekta
ya elimu kwa kuhakikisha kuwa walimun wanakuwa na maslahi mazuri ili
walimu nao waweze kuwa na moyo pindi wanapowafundisha wanafunzi

Pia
alisema kuwa hata walimu wanapokosa maslahi mazuri kuna changia
kwa kiwango cha hali ya juu sana washinde kufundisha kwa Moyo hali
ambayo kwa wakati mwingine inasababisha wanafunzi wafanye vibaya
katika mithiani yao ya mwisho hali ambayo wakati mwingine inaongeza
Mbumbumbu kwenye taifa

‘sekta
ya elimu ni moja ya sekta ambazo zinatakiwa kupewa kipaumbele
kikubwa sana ikiwa ni pamoja na kuangalia hata mazingira ya
kufundishia kwa kuwa hata wakati mwingine mazingira nayo yanakuwa ni
magumu sana sasa tunapolalamika kuwa matokeo ni mabaya ni lazima
tuangalie vyanzo ni nini na wala sio kumtafuta mchawi wa matokeo ni
nani”alibainisha Wasike

No comments:
Post a Comment