Picha ni msanii Mwasiti
Msanii wa mziki wa bongo flaver Tanzania Mwasiti Almasi aka Mwasiti amewaasa wanafunzi mkoani Tanga kusoma kwa bidii na kutotemea vibaji walivyo navyo
Mwasiti ameyasema hayo mapema hii leo wakati akizungumza kwenye mahojiano maalum kwenye kipindi cha MiMi Na Mwanafunzi kinachorushwa na Redio Mwambao fm iliyopo mkoani Tanga.
Akizungumza kwa njia ya simu kwenye kipindi hicho kinarushwa saa tatu asubuhi siku ya jumamosi Mwasiti amesema ipo haja kwa wanafunzi kuendelea kusoma kwa bidii na kutotegemea sana vipaji walivyonavyo na kuisahau elimu.
Amesema wanafunzi wengi wamejenga dhana ya kupuuzia masomo wakitegemea vipaji walivyonavyo bila kujua elimu ina mchango mkubwa katika kuendeleza vipaji ama sanaa walizonavyo.
Kauli ya msanii huyo imekuja mara baada ya kuulizwa na mtangazaji wa kipindi cha Mimi na Mwanafunzi Suleiman Kibugo kuhusiana na wimbo wa pamoja ujulikano kwa jina la tokomeza ziro ambapo msanii huyo amefanya kwa kushirikiana na wasanii mbali mbali hapa.
Miongoni mwa wasanii walishiriki katika wimbo huo wa tokomeza ziro ni pamoja na linex,recho,kala j,mwana Fa,stamamina,Diamond na wengne wengi .

Hata hivyo Mwasiti amesema lengo la wimbo huo ni kuendelea kuhamisha zaidi vijana,wanafunzi kusoma kwa bidii na kuikataa sifuri.